Tuesday 9 February 2010

Dk.Karume akutana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tunguu



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Amani Abeid Karume, akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tunguu,(Zanzibar University) Prof Muhamad Omar Zubeir, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar .

Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments:

Post a Comment