Thursday 3 June 2010

Ndiyo nazindua umeme

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Karume akibonyeza kitufe kuashiria ufunguzi rasmi wa umeme wa gridi ya Taifa huko kisiwani Pemba, umeme huo umetandikwa waya kutoka Tanga hadi kisiwani humo.(Picha na Zanzibar Leo).
  

No comments:

Post a Comment