Monday 4 October 2010

WANANCHI wa Kjiji cha Mtende Mkoa wa Kusini Unguja wakiangalia ndege ndogo iliotuwa kwa dharura katika barabara ya kijiji hicho ikiwa katika shughuli zake za kufundishia wanafunzi wa kirubani, inayomilikiwa na Kampuni ya Tropicala ya Zanzibar.(Picha na Othman Maulid) 

No comments:

Post a Comment