Monday 4 October 2010


LEO ikiwa ni siku ya Mitihani ya Taifa ya Kidato cha nne kwa Tanzania nzima, wanafunzi wengi walikua na maandalizi ya mwisho kwa mitihani hiyo,pichani baadhi ya wanafunzi wakiwa katika matayarisho hayo katika bustani ya Jamhuri,kama walivyokutwa na mpigapicha Abdallah Masangu.

No comments:

Post a Comment