Thursday, 14 July 2011


MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa tatu wa Baraza la Wakuu wa Vyuo Vikuu huria Afrika kuhusu elimu ya mafunzo ya masafa, kwenye ukumbi wa Mlimani City Mjini Dar es Salaam jana. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR).

No comments:

Post a Comment