Saturday 1 May 2010

Karume akisalimiana na Waziri Asha

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Karume akisalimiana na Waziri wa Kazi, Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, Asha Abdulla Juma huko Bwawani ambako jana kulifanyika kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani. (Picha na Othman Maulid). 

No comments:

Post a Comment