Saturday 1 May 2010

Solidarity Forever

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Karume akiwa na viongozi wa serikali na vyama vya wafanyakazi wakiimba wimbo wa kuonyesha mshikamano kwa wafanyakazi.

No comments:

Post a Comment