Thursday 19 August 2010

RAIS KARUME AKIHUDHURIA MKUTANO WA SADC NAMIBIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume kulia Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC uliofanyika ukumbi wa mjini Windhoek, Namibia.

No comments:

Post a Comment