RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizugumza na Waandishi wa habari baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchi Libya alikoshiriki Mkutano wa EU- Africa Summit, iliofanyika Libya.(Picha na Othman Maulid)
Wednesday, 1 December 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment