Tuesday 20 April 2010

KAIMU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Asha Abdallah Juma,akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusiana na maadhimisho ya siku ya Malaria Duniani ,kushoto Kaimu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo Dk. Juma Rajab na Naibu Waziri Shawana Buheti Hassan,(Picha na Abdallah Masangu).

No comments:

Post a Comment