Thursday 1 April 2010

Operesheni ya macho

DAKTARI bingwa wa magonjwa ya macho, Dkt. Ji Jiangdong, akimfanyia upasuaji mmoja ya wagonjwa waliokuwa wakisumbuliwa na maradhi ya mtoto wa jicho katika hospitali ya Mnazimmoja. Zaidi ya wagonjwa 600 wameshafanyiwa matibabu tokea kuja kwa jopo la madaktari bingwa wa kichina. (Picha kwa hisani Dkt Jiangdong).

No comments:

Post a Comment