Tuesday, 20 April 2010

Unaona uzembe wa madereva huu

WAFANYAKAZI wa Bustani ya Forodhani wakiifungua taa kwa ajili ya kuifanyia matengenezo baada ya taa hiyo kugongwa na gari zinazofanya mashindano ya resi,hata hivyo gari hilo limekimbia baada ya kuigonga nguzo hiyo,iliyoko pembezoni mwa jengo la Ngome Kongwe,(Picha na Abdallah Masangu).

No comments:

Post a Comment