Tuesday 6 April 2010

Kikwete akipokea maandamano


RAIS wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akisubiri kupokea  maandamano ya vijana ya kumuenzi Marehemu mzee Abeid Amani Karume, katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar jana. ( Picha na Othman Maulid).

No comments:

Post a Comment