Wednesday 14 April 2010

Mafunzo kwa wauguzi wodi ya viungo

MTAALAMU wa Viungo vya binaadamu Rachel Bates kushoto, akitoa mafunzo kwa wauguzi mbali mbali wa sehemu ya ulemavu wa viungo katika hospitali ya Mnazi Mmoja jana.(Picha na Abdallah Masangu).

No comments:

Post a Comment