Tuesday 13 April 2010

Rais Kikwete akisalimiana na Balozi wa Marekani

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Marekeni hapa nchini Mheshimiwa Alfonso Lenhardt mata baada ya mheshimiwa rais kufungua rasmi mkutano wa majeshi kuhusu ukimwi kwa nchi za Latin America,Marekani,Asia na Afrika unaofanyika huko AICC Arusha.

No comments:

Post a Comment