Monday, 9 May 2011

MWILI WA MMOJA WA MAREJHEMU WALIONASWA NA UMEME WAKIREKEBISHA ANTENA YA TV.

 Polisi wakisaidiana na jamaa na wananchi wakiuchukuwa mwili wa mmoja wa marehemu walionaswa na umeme katika mtaa wa Kwahajitumbo na kusababisha vifo vya watu wawili Asha na Mahmeil Omar Awadhi,ikitolewa katika nyumba yao, ikipelekwa hospitali kwa uchunguzi zaidi.(Picha na Othman Maulid).No comments:

Post a Comment