Friday, 6 May 2011

RAIS WA ZANZIBAR AKIFUNGUWA MKUTANO WA ELEKEZI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano wa kuimarisha uhusiano  baina  ya  viongozi  wa  kisiasa na kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, mkutano huo wa siku tatu umefunguliwa jana katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu).

No comments:

Post a Comment