WAZIRI wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, Ali Juma Shamuhuna, akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Qiman huko ofisini kwake Shangani mjini Zanzibar.(Picha na Zahor Suleiman).
Shirika la Magazeti ya Serikali limeanzishwa kwa sheria namba 11 ya mwaka 2008.Shirika hili linachapicha magazeti ya Zanzibar Leo na Zanzibar Leo Jumapili.
No comments:
Post a Comment