Tuesday, 14 June 2011

KATIBU WA BARAZA LA WAWAKILISHI NA WAANDISHI WA HABARI

KATIBU wa Baraza la Wawakilishi Ibrahim Mzee akizungumza na Waandishi wa habari,katika Ukumbi wa Ofisi ya Baraza Mbweni kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Baraza kikoa cha Nane unaofanyika leo kujadili Kikoa cha Bajeti ya Zanzibar..(Picha na Othman Maulid)


No comments:

Post a Comment