Tuesday, 14 June 2011

MAKAMU wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad, akimkabidhi zawadi maalum Hadaa Khatib Simai kwenye hafla ya kuwatunuku tuzo wachangia bora wa damu. Hadaa ambaye ni mlemavu wa viungo ameshachangia damu mara sita katika kipindi cha miaka miwili. (Picha na Abdullah Masangu).

No comments:

Post a Comment