Monday, 20 June 2011

UZINDUZI WA TAASISI YA ZIRPP SALAMA BWAWANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekitiwa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea nakala ya Katiba ya Jumuiya ya ZIRPP kutoka kwa mlezi wa jumuiya Dk. Salim Ahmed Salim. Hafla ya uzinduzi wa jumuia hiyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa Salama uliopo Bwawani mjini hapa. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu).

No comments:

Post a Comment