Monday, 13 June 2011

RAIS WA TANZANIA DK. KIKWETE NA WAZIRI WA MAREKANI HILLARY CLINTON.IKULU

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Jakaya Kikwete na waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani, Hillary Clinton, wakizungumza na waandishi wa habari, baada ya mazungumzo yao, Ikulu Mjini Dar es Salaam jana. (Picha na John Lukuwi, Ikulu).

No comments:

Post a Comment