Monday, 20 June 2011

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR AKIFUNGUWA MADRASSA TOMONDO.

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na walimu, wazee na wanafunzi wa madrsa Qadiriyatul Iman kwenye ufunguzi wa madrasa hiyo iliyopo Tomondo. (Picha na Salmin Said).

No comments:

Post a Comment