Monday, 13 June 2011

WAZIRI WA FEDHA ATOWA MUELEKEO WA BAJETI YA SMZ.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi, Mipango na Maendeleo Zanzibar Omar Yussuf Mzee, akitowa muelekeo wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Waandishi wa Habari wa vyomba mbalimbali vilioko Zanzibar, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga.(Picha na Othman Maulid)   

No comments:

Post a Comment