Wednesday, 8 June 2011

WAZIRI WA KILIMO NA MALIASILI MANSOOR YUSSUF HIMUD NA BALOZI WA INDONESIA

 WAZIRI wa Kilimo na Maliasili Zanzibar, Mansoor Yussuf Himid, akizungumza na Balozi wa Indonesia, Yudhi Sitiranto Sungadi na Ujumbe wake wa wataalam wa kilimo cha umwagiliaji wa mpungu Zanzibar, mazungumzo hayo yamefanyika ofisi ya Wizara hiyo Darajani. (Picha na Othman Maulid).No comments:

Post a Comment