Friday, 8 April 2011

KIKWETE AKABIDHI KADI WANACHAMA WAPYA

MWENYEKITI WA CCM na Rais wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kadi ya CCM,aliyekuwa Katibu mwenezi wa Chadema wilaya ya Ileja Hennry Kayuni jana,katibu hyo alipokicha rasmi chadema na kuingia CCm,katika hafla hiyo ilifanyika viwanja vya Makao Mkuu ya CCM Dodoma.

No comments:

Post a Comment