Tuesday, 19 April 2011

NO 6874 --  MVUA za  masiki zikiendelea kunyesha  katika maeneo ya Unguja na vitongoji vyake kuna baadhi ya barabara hujaa maji  na kulazimika  magari kupita kwa uangalifu,  kama  inavyoonekana  pichani barabara ya  kiswandui  ikiwa imejaa maji.(Picha na Othman Maulid)

No comments:

Post a Comment