Friday, 8 April 2011

MENEJA wa Manchester United Sir Alex Ferguson, ameibua malumbano mapya dhidi ya FA England, akieleza wasiwasi wake kuwa huenda muamuzi Lee Mason alipewa shindikizo akiri makosa anayodaiwa Wayne Rooney aliyafanya ili apate kuadhibiwa. (Dailymail).

No comments:

Post a Comment