Tuesday, 19 April 2011

WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, UTALII NA MICHEZO JIHADI

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Utaliina Michezo Abdilah Jihad Hassan, akitowa maelekezo kwa watendaji wake katika ghala  pango la Watumwa Mangapwani alipofanya ziara kutembelea sehemu  mbalimbali za magofu ya Kitalii jana.(Picha Masangu Abdalla)      

No comments:

Post a Comment