Tuesday, 12 April 2011

SHUGHULI ZA KILIMO ZIMEWADIA

SHUGHULI za kilimo zimepata kasi kubwa hivi sasa huko Zanzibar, kutokana na wananchi wengi kuzitumia mvua za masika kwa ajili ya kupanda na kulima. Pichani wananchi wakiwa na miche ya michungwa wakielekea shambani bonde la Mtwango, Wilaya ya Magharibi Unguja kwa ajili ya kupanda kama walivyokutwa na mpiga picha wetu Abdallah Masangu jana.

No comments:

Post a Comment