Saturday 16 April 2011

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto)na Makamo wa Rais wa Tanzania, Dk Mohamed Gharib Bilali,(watatu kushoto)  wakijumuika na waislamu wengine kumsalia  Marehemu Rahma Mshangama,aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa jamii,maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto,katika msikiti wa Mwembe Shauri Mjini Zanzibar jana

No comments:

Post a Comment